WELCOME TO ARDHI UNIVERSITY STUDENTS' BLOGSPOT

"OUR PLATFORM"

A WORD........

If you have any question or you have a post and you want us to post it for you please use the contact details below. We guarantee to respond to your query ASAP. However, we discourage abusive language, any thing with inappropriate words will not be attended.

Any comment,opinion or news email: andika2me@gmail.com

BE FREE, BE YOU

Monday, 17 August 2009

NGUNGI WA THIONG'OMTUNZI gwiji wa vitabu barani Afrika, Profesa Ngugi wa Thiong'o amesema idadi ya Waafrika wanaosoma vitabu imeshuka na kutishia maendeleo ya watu barani kutokana na kutegemea kazi za waandishi wa nchi za Magharibi.Ngugi alisema hayo jana jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari baada ya ufunguzi wa Kongamano la Sita la Usomaji kwa Wote linalofanyika Chuo Kikuu cha Dar es salaam kwa siku tano.