Napenda kutoa pongezi za dhati kwa serikali ya ARUSO kwa kutuwezezesha kuangalia mechi za ligi kuu ya England hapa hapa CAMPUS.....Hongera rais na waziri wa mawasiliano kwa hatua hii kubwa mliyopiga.
Mwisho nawapongeza wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine kufanikisha jambo hili kubwa.
Mdau, Elisha Arch