WELCOME TO ARDHI UNIVERSITY STUDENTS' BLOGSPOT

"OUR PLATFORM"

A WORD........

If you have any question or you have a post and you want us to post it for you please use the contact details below. We guarantee to respond to your query ASAP. However, we discourage abusive language, any thing with inappropriate words will not be attended.

Any comment,opinion or news email: andika2me@gmail.com

BE FREE, BE YOU

Saturday, 4 July 2009

Miss Higher Learning News


Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa wakati wa kumsaka Mlimbwende kutoka Taasisi za Elimu ya Juu;Nadhani Ardhi University hatukushiriki.....(Why?)

Staa wa Kundi la ucheshi la Orijino Komed ‘Masanja Mkandamizaji” akiinama kukwepa kamera baada ya kubambwa ukumbini hapo akishuhudia mchuano mkali wa walimbwende hao.Majaji, kutoka kushoto ni Miss Tanzania mwaka juzi , Jokate Mwegelo, Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga ‘Anko’ na Miss Tz mwaka jana, Nasreen Mohamed, wakiwa makini kutazama warembo (hawapo pichani).

Hii ndiyo ilikuwa Top 5.
Warembo wakicheza staili ya Mugongo Mugongo jukwaani baada ya kupanda kwa mara ya kwanza