WELCOME TO ARDHI UNIVERSITY STUDENTS' BLOGSPOT

"OUR PLATFORM"

A WORD........

If you have any question or you have a post and you want us to post it for you please use the contact details below. We guarantee to respond to your query ASAP. However, we discourage abusive language, any thing with inappropriate words will not be attended.

Any comment,opinion or news email: andika2me@gmail.com

BE FREE, BE YOU

Monday, 22 June 2009

MSAADA TUTANI

MSAADA TUTANI!!
Jr,....Napenda kuomba msaada tutani kuhusu blog yangu. Mimi ni MAKULILO Jr, blog yangu www.makulilo.blogspot.com nimeifanyia mabadiliko makubwa mno (SHUKRANI kwa Dada Subi, blogger www.nukta77.blogspot.com kwa 95% ya kuibadilisha blog hii, na kuiboresha zaidi). Napenda kuwaalika wadau wapate mambo mapya, mengi na muhimu kuhusu SCHOLARSHIPS, VOLUNTEERING, FREE TRAINING, INTERNSHIPS, FELLOWSHIPS, INTERNATIONAL JOBS etc. Pia website yangu www.makulilo.com ipo njiani kuja, wadau kaeni mkao wa kupokea michakato mingi mno nay a uhakika.MDAUMAKULILO Jr,www.makulilo.blogspot.comE-Mails: scholarships101@aol.comMakulilo@marshall.eduCell phone +1 304 633 0978