WELCOME TO ARDHI UNIVERSITY STUDENTS' BLOGSPOT

"OUR PLATFORM"

A WORD........

If you have any question or you have a post and you want us to post it for you please use the contact details below. We guarantee to respond to your query ASAP. However, we discourage abusive language, any thing with inappropriate words will not be attended.

Any comment,opinion or news email: andika2me@gmail.com

BE FREE, BE YOU

Monday, 22 June 2009

LAPTOPS FOR SALE

LAPTOPS FOR SALE!!
Hi,Nimekutana na hii blog ya ARDHI STUDENTS' nikiwa na-surf kwenye web nikaona niwasiliane nawe.Kwa kifupi mimi ni mwanafunzi mtanzania ambaye niko USA kwa muda mrefu sasa. Mbali na kuendelea kusoma na kuishi, nina part time business yangu ya Laptop Computers Service. Wateja wangu wengi ni wa hapa USA kupitia e-commerce, ila pia nimeshafanya biashara na wateja wa nyumbani Tanzania kwa special orders.Kupitia kwenye blog yako ninaomba unitangazie kama kuna mwanafunzi yeyote huko Tanzania ambaye angependa kununua laptop computer (second hands) kwa bei rahisi basi tuwasiliane kupitia joehous@yahoo.com . Mpaka wakati huu nina more than 39 units in my store; different brands and models ambazo ziko tayari kuwa shipped out. My price normally starts around US $250 and up + shipping cost. Pia nauza brand new printers; three in one printers (printer + Copier + Fax machine) ambazo ni kitu muhimu pi kwa academic needs. Bei ni kuanzia US$ 100 and up + shipping fee.Kuhusu malipo ni kwamba nina mawakala wangu hapo Tanzania ambao watakuletea laptop/printer yako popote pale ulipo chuoni Tanzania na hapo ndipo utafanya malipo. Malipo napokea in Tsh. based on the exchange rate ya wakati huo utakapo toa order yako. Shipping cost unazolipia ni only za airflight charges; gharama za kusafirisha mzigo mpaka hapo chuoni ulipo ni juu yetu sisi. Kwa mawasiliano zaidi nitumie message kwenye e-mail joehous@yahoo.com . Asante sana!